Yanga morali juu kwa Waethiopia
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania waliobakia kwenye michuano ya kimataifa, Yanga, walitarajia kuondoka nchini leo alfajiri kuelekea Ethiopia kuwafuata wapinzani wao Welayta Dicha FC, wameahidi kupambana na...
View ArticleKocha Simba SC: Raha ya Ligi Kuu hii
HUKU timu yake ikiwa imebakiza mechi saba za Ligi Kuu Bara msimu huu na leo ikiialika Tanzania Prisons, Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, ametaja vitu vitatu ambavyo amekutana navyo kwa mara ya...
View ArticleJulio 'Simba Ikimfunga Yanga Inachukua Ubingwa'
KOCHA Mkuu wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema kama Simba itafanikiwa kushinda mechi zake mbili zijazo ikiwemo ya Yanga basi itakuwa imeshatwaa ubingwa wa msimu huu kutokana na kasi...
View ArticleSimba SC kunusa ubingwa leo
Simba inaikaribisha Tanzania Prisons leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.Kikosi hicho kimetoka kupata alama tatu kwenye mechi iliyopita dhidi ya Mbeya City kwa...
View ArticleMAMA MOBETO "Huyu Ndiye Mwanaume atakaemuoa Mobeto"
Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea mtoto wake huyo aolewe na mzungu.Akizungumza na MCL Digital, Shufaa amesema sababu ya kutaka aolewe...
View ArticleMKWASA: Wakati ukifika naondoka
Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ametolea ufafanuzi uwepo wa taarifa zinazoeleza kuwa wadhifa wake umekalia kuti kavu.Mkwasa alisema kuwa hakuna tatizo lolote lililopo ndani ya...
View ArticleMrithi wa Lwandamina huyu hapa
Uongozi wa Yanga umemtangaza atakaekaimu nafasi ya kocha mkuu iliyoachwa wazi na George Lwandamina ambaye katikati ya juma hili alirejea kwao na kuijiunga na klabu yake ya zamani ZESCO united.Katibu...
View ArticleMan City bingwa EPL
Katika misimu yake tisa kama kocha katika ligi kuu mbali mbali Pep Gurdiola amechukua ubingwa mara 7 baada ya hii leo kutangazwa rasmi kuwa bingwa wa EPL, mara mbili pekee ambazo Pep amekosa ubingwa ni...
View ArticleDante na Ajib wapo tayari kuiua Simba
Na George MgangaWakati kikosi cha Yanga kikiondoka alfajiri ya leo kuelekea Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Wolaita Dicha FC, Ibrahim Ajibu na Andrew Vincent 'Dant, ni...
View ArticleBOCCO ASHANGAZWA NA MABAO YAKE 13 SIMBA
MSHAMBULIAJI na nahodha wa Simba, John Bocco, amefunguka kuwa anashangazwa na kasi yake ya kutupia mabao ambayo anayo kwa sasa ikiwa ni baada ya kuanza taratibu mwanzoni mwa msimu huu huku muda mwingi...
View ArticleBocco, Okwi janga la Taifa
Dar es Salaam. Washambuliaji John Bocco, Emmanuel Okwi wameendelea kuvunja rekodi za ufungaji baada ya kuiongoza Simba kuichapa Prisons kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa taifa, Dar es Salaam.Ushindi huo...
View ArticleMichuano Ya Jumuia ya Madola: Mambo Manne Usiyoyajua kuhusu Jumuia ya Madola
1. karibu theluthi ya watu duniani ni wanachama wa Jumuia ya madola.Takriban watu bilioni 2.4 kati ya bilioni 7.4 wanaishi kwenye nchi wanachama 53 za jumuia ya madola wengi wao wakiwa chini ya miaka...
View ArticleHURUMA: Zari ana hali mbaya sana kwasasa
Ama kila jambo lina nyakati zake, kila jambo lina majira yake! Alitukana, aliwachamba wanawake wenzie waliowahi kumvulia nguo mzazi mwenzie, a.k.a Simba, - The boy from Tandale, nadhani alipata jeuri...
View ArticleMagazeti ya TZ leo Jumanne April 17 2018 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumanne 17 Aprili 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleSimba hii haikamatiki aisee!!!
***Yaiacha Yanga pointi 11 nyuma huku Okwi, Bocco wakizidi kutakata Ligi Kuu Bara...MABAO mawili yaliyofungwa na John Bocco na Emmanuel Okwi yameiwezesha Simba kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya...
View ArticleMasoud Djuma awazodoa mashabiki Yanga,Simba
Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma ametaja vitu ambavyo amevibadilisha kwa muda mfupi tangu amejiunga na klabu hiyo, kocha huyo pia ametaja baadhi ya vitu ambavyo hapendi kwenye soka la...
View ArticleKombe la Dunia 2026 huenda kuchezwa Afrika- Gianni Infantino
Ombi la nchi ya Morocco kuwa taifa mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia 2026 imechukua hatua mpya baada ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutuma wawakilishi wake nchini Morocco.Wawakilishi hao...
View ArticleSimon Msuva azidi kung'ara Morocco
Nyota wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva usiku wa jana ameibuka shujaa wa timu yake ya Difaa Hassan El Jadida, baada ya kufunga mabao mawili ambayo yaliisadia kutoa sare ya 3-3 ugenini katika mchezo...
View Article