Pointi 55, mabao 55 yaipa Simba SC usukani wa ligi kuu bara
Baada ya ushindi wa jumla ya mabao 3 – 1 dhidi ya Mbeya City, vinara wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC hivi sasa imefikisha jumla ya mabao 55.Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi baada ya kupata...
View ArticleOkwi awa balozi Tulia Marathon Mbeya
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi ameteuliwa kuwa balozi wa Mbeya Tulia Marathon 2018 inayotarajia kufanyika Mei 6, mwaka huu kwenye Uwanja vya Sokoine jijini Mbeya.Mbeya Tulia Marathon inaasisiwa...
View ArticleKamusoko atajwa Simba SC
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, juzi alihudhuria mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Singida United.Mfaransa huyo alikuwa jukwaani kuwasoma watani zake kuelekea...
View ArticleNandy afanya maamuzi mazito
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nandy ambaye amepatwa na mkasa wa kuvuja kwa video yake ya faragha amefunguka na kusema kuwa kwa sasa ameamua kuacha kufanya kazi ya sanaa kwa muda mpaka atakapokuwa...
View ArticlePluijm ananukia Azam
Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Azam FC unaweza ukaachana na Kocha wake Mromania, Aristica Cioaba, huku Mholanzi, Hans van der Pluijm akitajwa kurithi mikoba...
View ArticleYanga yakutana usiku kumzungumzia Lwandamina majibu haya hapa..
Kamati ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na Klabu ya Zesco United ya nchini huko.Taarifa zilizotolewa jana...
View ArticleNjaa yaendelea kuitesa Yanga
WAKATI kikao cha Kamati ya Utendaji cha Yanga kilichofanyika juzi kushindwa kufikia muafaka wa kuteua mrithi wa Kocha, George Lwandamina, viongozi wa klabu hiyo wameshindwa kufikia makubaliano na...
View ArticleZifahamu nchi za Afrika zinazotekeleza Adhabu ya KIFO
Shirika la kutetea haki za Binadamu ulimwenguni, Amnesty International limesema idadi ya watu waliohukumiwa adhabu ya kifo imepungua mwaka uliopita ukilinganisha na miezi kumi na mbili nyuma.Katika...
View ArticleKocha mpya bayern ataeanza kazi july 2018
Uongozi wa Bayern Munich umetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na KochaEintracht Frankfurt, Niko Kovac.Kovac atakuwa anachukua mikoba ya Jupp Heynckes ambaye alikuwa akiitumikia klabu hiyo kwa...
View ArticleHatimaye UEFA nusu fainali yawekwa Wazi! Bayern v/s Madrid. Salah amkwepa...
Ratiba hii inamaanisha kwamba Salah amemkwepa Ronaldo katika hatua ya nusu fainali. Swali la kujiuliza ni kwamba: Madrid atachomoa kwa Wajerumani wenye Roho ya Paka??Na: sabby@spoti.co.tz
View ArticleVideo: Aina mbalimbali za uchezaji muziki barani Afrika (DANCING)
Na: sabby@spoti.co.tz
View ArticleMagazeti ya TZ leo April 14 2018 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumamosi 14 Aprili 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View Article"Diva" wa Mahali ya Tsh.500Milioni Atundikwa Mimba
Habari za udaku mitaani zinasema yule mtangazi anaejiamini kuwa ni mzuri kuliko na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote Africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji wa kipindi...
View ArticleMkude: Simba kuipiga Yanga 5 - 0. Kisa Lwandamina.
WAKATI homa ya mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ukianza kupamba moto, kiungo wa Simba, Jonas Mkude amedai kuwa kama Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina ameachana...
View ArticleKocha Simba atema cheche
LICHA ya kupata ushindi wa mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofanyika juzi dhidi ya Mbeya City, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Pierre Lechantre, hakufurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa...
View ArticleMwandila amrithi Lwandamina Yanga
Baada ya kocha George Lwandamina kutimkia Zesco United ya Zambia hivi karibuni, uongozi wa Yanga jana umemtangaza Noel Mwandila kuwa kocha mkuu hadi mwisho wa msimu.Mbali ya Mwandila makocha wengine...
View ArticleMPENZI WA BILL NAS AMWAGIA POVU NANDY ' HIYO CHU..P SIYO YA KUVAA...
Mambo bado ni mabaya kwa Nandy baada ya video yake ya uchi kuvuja akiwa na Bill Nass ambapo mpenzi wa Bill Nass amemshukia vikali Nandy kwa kile kilichotokea.Alice ambaye ndiye anadaiwa kuwa katika...
View ArticleADAM SALAMBA MCHEZAJI BORA MWEZI MACHI LIGI KUU YA VODACOM
MSHAMBULIAJI wa Lipuli ya Iringa, Adam Salamba amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara.Salamba alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili,...
View ArticleKoffi Olomide Aalikwa Tena Kenya
Mwanamuziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Koffi Olomide anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha nchini Kenya hivi karibuni ikiwa ni mara ya kwanza tangu afukuzwe nchini humo...
View ArticleBilnass Amjibu Nandy...Adai Nandy Alianza Toka Jana Kuvujisha Picha na Leo Video
"Jana ilikuwa Siku Yangu Nzuri Ya Kumbukumbu na Siku Ya Kuzaliwa Kwangu,Siku Moja Nyuma alinitafuta Nandy ambae tuliwahi kuwa kwenye Mahusiano Ya Pamoja kwa kipindi, akaniomba nimtumie picha zangu na...
View Article