Quantcast
Channel: SPOTI Starehe™
Browsing all 699 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA...

MECHI za Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 na 21, mwaka huu.Nusu Fainali ya Kwanza itachezwa Ijumaa ya Aprili 20, 2018 ikiwakutanisha Stand...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCELONA WANG'OLEWA LIGI YA MABINGWA, MESSI ATIA HURUMA ROMA.

Lionel Messi akitembea kinyonge baada ya Barcelona kufungwa 3-0 na wenyeji, Roma katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne na kutolewa kwa mabao ya ugenini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL YAIPIGA MAN CITY 2-1 ETIHAD NA KUTINGA NUSU FAINALI

Roberto Firmino na Mohamed Salah wakishangilia baada ya kuifungia mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Manchester City kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetesi za soka Ulaya 11.04.2018: Timu zinajipanga kwa msimu ujao

Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 22, amekataa mkataba wa miaka mitano na anataka kuondoka kwenye klabu hiyo msimu huu. Martial angetaka kubakia Manchester United...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya Jumuiya Madola: Wachezaji 8 'watoroka'

Wanariadha wanane wa Cameroon hawaonekani katika makaazi yao katika michezo ya Jumuiya madola nchini Australia, maafisa wa timu hiyo wanasema.Afisa wa habari Simon Molombe ameiambia BBC kwamba maafisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump: Atangaza vita na Urusi - dalili za vita kuu ya TATU

Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha ujumbe wa Twitter kwamba Urusi inafaa 'kujiandaa' kwa kombora litakalorushwa nchini Syria akijibu madai ya shambulio la kemikali wikendi.Maafisa wakuu wa Urusi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Ronaldo tena! Aiokoa Madrid kutoka kwa Juventus!

Ni kama ndoto, ama tuseme nikama bahati ya mtende! Amekuwa ni mchezaji muhimu kwa klabu yake, ameonesha umuhimu wake hasa pale anapohitajika! kwa lugha nyingine unaweza kabisa kumuita ni Mwokozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Burudika na Video ya (the mafik )PASSANGER!

Ungana nami hapa kila siku upate video bora kabisa za nyimbo za wasanii mbalimbali. Tunasema, "Burudani kiganjani mwako"!!Na:sabby@spoti.co.tz

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo Alhamis 12 Aprili 2018, Michezo na Hardnews

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Alhamis 12 Aprili 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Birmingham kuwa wenyeji michuano ya madola 2022

Jumapili hii mji wa Gold Coast Australia utaukabidhi kijiti cha uenyeji wa michezo ya jumuiya ya madola mji wa Birmingham wa Uingereza. Birmingham inategemea kuwa mwenyeji wa michuano ya jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Burudika na video ya "African Beauty" Diamond na Omarion

Ungana nami hapa kila siku upate radha tofauti tofauti na zenye ubora katika anga la Muziki.Ni mimi gwiji la burudani: sabby@spoti.co.tz

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba wanajipigia tuu: wainyoa mbeya city

Kikosi cha Simba kimezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City FC.Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi, Asante Kwasi na John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Mashabiki yanga walivyoenda kumvaa mkwasa kisa lwandamina

Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wamevamia ofisi za Makao Makuu ya klabu hiyo usiku huu wakimtaka Katibu Mkuu, Charles Boniface Mkwasa.Mashabiki wamejitokeza Makao Makuu ya klabu wakimtamka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lwandamina huyu hapa jukwaani na mvinyo akishuhudia zesco inashinda ugenini

Kocha George Lwandamina ameishuhudia klabu ya Zesco United kwa mara ya kwanza ikiwa kibaruani jana dhidi ya Lusaka Dynamos katika mchezo wa ligi kuu nchini humo.Lwandamina ameshuhudia mchezo huo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyombo vya habari italy vyamchana Olivier

Michael Oliver Mwamuzi kutoka Ashington, Northumberland, England, amekuwa gumzo kubwa hivi sasa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari baada ya kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Buffon amfananisha mwamuzi na muuaji

Kipa mkongwe nchini Italia, Gianluigi Buffon ameamsha mashambulizi dhidi ya mwamuzi Michael Oliver kwa kumuita muuaji.Kama haitoshi, Buffon amesema mwamuzi huyo hana moyo katika kifua chake.Mara baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtibwa Sugar yaitwanga Ndanda 1-0

Mtibwa Sugar imefanikiwa kuibuka na ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Manungu leo.Kikosi hicho kimejipatia bao lake kupitia kwa Kelvin...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANDY AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA UCHI MTANDAONI

Video ya msanii Faustina Charles maarufu Nandy inayomuonyesha akiwa faragha na mwanaume leo imezua gumzo mitandaoni ambapo mwenyewe amefunguka.Nandy amekiri kwamba video hiyo ni ya kweli japo ni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa 13 Aprili 2018, Habari za Michezo na Hardnews

 Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Ijumaa 13 Aprili 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa nini wanamichezo wanatoweka kwenye michezo ya kimataifa ulaya?

Waandalizi wa michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika nchini Australia wanasema kuwa wanariadha watano kutoka Afrika wametoweka.Wanasema kuwa wanawatafuta wanamichezo hao ambao wanatoka Rwanda na...

View Article
Browsing all 699 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>