Hazard apewa rasmi mikoba ya Ronaldo Madrid
Staa mpya wa club ya Real Madrid ya Hispainia Eden Hazard aliyejiunga na timu hiyo akitokea Chelsea ya England, hatimae amekabidhiwa jezi namba 7 ndani ya club ya Real Madrid baada ya ombi lake kwa...
View ArticleSimba yatikisa Msumbiji
Simba yatikisa MsumbijiMABINGWA wa soka Tanzania Bara, wametua salama mjini Beira Msumbiji jana mchana na 'dege' lao la kukodi huku wakiwa na 'fulu muziki' wa kikosi chao cha nyota 19 waliopewa jukumu...
View ArticleVIDEO: Kuwa makini Na Ukisemacho Ukiwa unalia Msibani.. Angalia Video
Mara nyingi tukiwa tumeondokewa na wapendwa wetu hujikuta tunasema mambo mengi sana bila kujua, labda kwakuwa tunakuwa katika hisia za uchungu mkubwa. Angalia video hii na ujifunze kitu.
View ArticleRafiki Yangu Anataka Nilale na Mume Wake Nipate Mimba Niwazalie Mtoto
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye hajabahatika kupata mtoto...
View ArticleAmeniacha eti Nina Kibamia hivyo Simridhishi
Ninaandika ujumbe huu kwa masikitiko sana na nimekosa raha kabisa baada ya mpenzi wangu ninaempenda sana kunitamkia kua hua simridhishi kwa sababu uume wangu haumtoshi! kwa lugha ya sasa wanasema...
View ArticleOrodha ya nchi 10 duniani Ambazo Wanaume Huridhisha wake zao kitandani
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na misukosuko ya maisha, ukosefu wa chakula, magonjwa na kipato inaelezwa kuwa ndiyo sababu ya bara la Afrika kuwa la mwisho kwenye orodha ya nchi zenye wanaume...
View ArticleSamatta, Mambo Magumu Genk
MAMBO yapo ovyo. Ndivyo unavyoweza kusema kwa Mbwana Samatta na chama lake la Genk KRC baada ya jana tena kunyukwa mabao 2-0 nyumbani na Zulte-Waregem, ikiwa ni mara ya pili mfululizo tangu kuanza kwa...
View ArticleSimba yakumbuka waliokufa ajali ya moto
PAMBANO la Simba na UD Songo limeanza huku wawakilishi hao wa Tanzania wakivaa vitambaa vyeusi mkononi kuashirikia msiba wa kitaifa uliotokana na ajali ya moto iliyopoteza uhai wa watu karibu 100.Ajali...
View ArticleSimba, Azam FC zachafua Hali ya Hewa
Simba, Azam FC zachafua Hali ya HewaKLABU za Simba na Azam FC ambazo wikiendi zilikuwa kwenye majukumu ya kimataifa zimeanza kuwachanganya mabosi wa Chama cha Soka Mkoa wa Iringa kwa ajili ya...
View ArticleWaje Kwa Mkapa ndiyo watatutambua- SIMBA
KAMA kuna kitu ambacho UD Songo ya Msumbiji watakijutia ni kupoteza nafasi zaidi ya saba walizotengeneza dhidi ya Simba, kwa sababu mabosi wa Msimbazi na mashabiki wanajua kazi itamalizwa kwenye Uwanja...
View ArticleZahera aligundua tatizo Yanga aahidi kuwaua Township kwao
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado kikosi chake hakijawa na maelewano mazuri jambo ambalo liliwapa taabu kupata matokeo kwenye mchezo wao wa kwanza dhidi ya Township Rollers.Yanga...
View ArticleTanzania bingwa COSAFA
HATIMAYE kimeeleweka. Timu ya taifa ya Tanzania kwa Wanawake U20, Tanzanite mchana huu imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Soka ya Nchi za Ukanda wa Kusini wa Afrika (Cosafa Women U20) kwa...
View ArticleAUDIO | Roy - Ndoto (Morogoro)
Wimbo wa Maombolezo kuhusiana na ajali ya Mlipuko wa moto uliotokea baada ya kudondoka kwa gari la mafuta maeneo ya Msamvu, Morogoro na kusababisha vifo vya raia wengi. Tunaungana na watanzania wote...
View ArticleNafasi za Kazi zilizotangazwa leo Jumatatu 12 August 2019
Job Opportunity at Halotel TanzaniaJob Opportunity at SUGEC, Sales PersonJob Opportunity at TIGO Tanzania, MFS Banking and Treasury ManagerJob Opportunity at TIGO Tanzania, Trade Marketing...
View Article