Man United yaitandika Chelsea 4G
NDANI ya dakika 15 za kwanza ilionekana kama Manchester United ya Ole Gunner Solskjaer inakwenda kupoteza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya England, ambapo ilizidiwa kila idara. Chelsea ikiongozwa...
View ArticleDe Gea bado hakijaeleweka Man United
GAZETI la The Mirror limebainisha kwamba majaliwa ya golikipa wa Manchester United, David de Gea bado yapo shakani.Gazeti hilo limedai kwamba, raia huyo wa Hispania bado hajakubali kusaini mkataba mpya...
View ArticleMartial kubeba mikoba ya Lukaku Man United
KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema Anthony Martial atakuwa mshambuliaji wake kiongozi msimu huu baada ya kumkabidhi jezi namba 9 baada ya kuuzwa kwa Romelu Lukaku.Kocha huyo...
View ArticleKaseja afunguka AS Kigali itafia Dar
KUFUATIA sare tasa katika mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Kigali, Nahodha wa Klabu ya KMC FC, Juma Kaseja amesema wana nafasi nzuri ya kurekebisha makosa yao na kushinda...
View ArticleGuardiola: VAR itaharibu radha ya Mpira wa Miguu
KOCH wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba, matumizi ya teknolojia ya usaidia wa maamuzi kwa njia ya video,VAR, hubadilisha "nguvu" ya michezo baada ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa...
View ArticleDalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;1. Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara...
View ArticleYanga kuhama nchi
HABARI ndio hiyo, mabosi wa Yanga wametuma salamu mtaa wa pili. Yanga inautaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ili kuendelea kuwa wababe dhidi ya mahasimu wao, Simba.Iko hivi. Yanga leo Jumapili...
View ArticleMfaransa hataki mchezo Simba
MFARANSA wa Simba, Pierre Lechantre buana, kumbe hataki utani kabisa, kwani jana asubuhi wakati kikosi chake kikianza safari kuelekea Njombe kuwafuata Njombe Mji aliamua kufanya jambo moja ambalo...
View ArticleTOP STORIES BALAA: Duma alivyoingia kwenye gari la Watalii Serengeti (+video)
Watalii wawili wa Marekani walipatwa na mshtuko na kujua maisha yao yamefika mwisho baada ya Mnyama aina ya Duma kuingia kwenye gari lao mbugani Serengeti Tanzania na wao kumshtukia akiwa ameshaingia...
View ArticleKamati ya watu 12 wa simba kuelekea njombe kuhakikisha ushindi wa simba dhidi...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Njombe Mji utakaopigwa keshokutwa Jumanne mjini Njombe, Simba wamejipanga kupeleka majina ya watu 12 kutia hamasa.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa...
View ArticleDALALI: Ubingwa simba ni uhakika 100%
Na George MgangaMwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali, anaimani timu yake itatwaa ubingwa wa ligi msimu huu baada ya kuukosa kwa muda wa takribani miaka mitano.Dalali ambaye aliwahi...
View ArticleKikosi cha leo cha Yanga ngoma, kamusoko out!!
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya Robo Fainali leo.1. Youthe Rostand2. Juma Abdul3. Gadiel Michael4. Andrew Vincent5. Kelvin Yondan6....
View ArticleManara awakutanisha alikiba na diamond
Na George MgangaAfisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewakutanisha wasanii wakubwa wanaotamba zaidi Tanzania na Barani Afrika kwa miaka ya hivi karibuni, Diamond Platnumz na Ali Kiba.Haji...
View ArticleHakuna namna ili pasaka iendelee lazima mmoja afe pale Namfua
Na George Mganga Dimba la Namfua litakuwa na kibarua kizito leo ambapo wenyeji Singida United watakuwa wanaikaribisha Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.Mchezo huo ulikuwa unasubiriwa kwa hamu...
View ArticleYANGA YAKUBALI YAISHE, YAKUBALI SHOO YA WALIMA ALIZETI SINGIDA UNITED, NJE...
Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi katika Azam Sports Federation Cup imemalizika Uwanja wa Namfua kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 kwa njia ya matuta dhidi ya Yanga.Mchezo huo wa...
View ArticlePilau la Pasaka ‘ladoda’ Yanga
Sikukuu ya Pasaka imekuwa mbaya kwa upande wa Yanga baada ya kuondoshwa kwenye kombe la Azam Sports Federation Cup na Singida United kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia timu hizo kutoka sare ya...
View ArticleDiamond na Hamisa wanogesha Tunzo za SZIFF
Ilikuwa ni katika hafla iliyoandaliwa na Azam, iliyohusu utoaji wa Tunzo kwa wasanii mbalimbali wa Tansinia ya Filamu. Ukumbi ulipendeza haswa, ukijumuisha watu mbalimbali wa rika na wadhifa...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumatatu April 2 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania April 2 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleKumbe mkude kasharejea mazoezini
Na George Mganga Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude, ameanza mazoezi mepesi leo ikiwa ni siku moja imesalia kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Njombe Mji FC.Mkude aliumia wakati Simba ikijifua kwenye...
View Article