TP MAZEMBE WAMFUATA KICHUYA TFF, KICHUYA AMTAJA SAMATTA
Shiza Kichuya.JUMANNE iliyopita, Shiza Kichuya akiitumikia Taifa Stars alipiga mpira mwingi na kuwavutia maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na wale waliokuwa...
View ArticleTetesi za soka Ulaya Ijumaa 30.03.2018: Isco ameendelea kutafutwa, Robert...
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habaImage captionManchester City inatuma kusaini makataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid...
View ArticleNgoma na Kamusoko fiti kuwavaa singida utd kesho
Na George Mganga Baada ya kuwasilini mjini Singida salama jana, kikosi cha Yanga kinafanya mazoezi ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Namfua.Yanga iliwasili mjini humo ikiwa ina kibarua cha mchezo wa Kombe...
View ArticleKifesi ajiengua WCB, ana hofu ya mungu pia
Aliyekuwa nguzo ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz katika kitengo cha picha akiwa ndiye mpigapicha mkuu, Andrew almaarufu Kifesi ametangaza kuacha kazi ili kupata muda wa kufanya...
View ArticleDani lyanga anapiga misele DSM singida ikijiaandaa kuwavaa yanga
Wakati klabu ya Singida United ikijifua kwa mara ya mwisho leo kuelekea mchezo wa Kombe la Shikisho dhidi ya Yanga kesho Jumapili, mchezaji Daniel Lyanga ameonekana akiwa mitaa ya jiji la Dar es...
View ArticleNiyonzima: nimerudi lakini sijafurahia
Kiungo wa kimataifa wa Simba, Haruna Niyonzima amerejea katika kikosi hicho baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kulikosababishwa na majeraha ya enka. Kiungo huyo wa kati alijiunga na Simba mwanzoni mwa...
View ArticleKuelekea kombe la dunia
KUELEKEA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2018 URUSIFainali za 12 za mashindano haya katika historia yalifanyika nchini Uhispania huku Argentina akisimama kama bingwa mtetezi.Fainali hizo zina umaarufu wake...
View ArticleYanga kuhama nchi
HABARI ndio hiyo, mabosi wa Yanga wametuma salamu mtaa wa pili. Yanga inautaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ili kuendelea kuwa wababe dhidi ya mahasimu wao, Simba.Iko hivi. Yanga leo Jumapili...
View ArticleMfaransa hataki mchezo Simba
MFARANSA wa Simba, Pierre Lechantre buana, kumbe hataki utani kabisa, kwani jana asubuhi wakati kikosi chake kikianza safari kuelekea Njombe kuwafuata Njombe Mji aliamua kufanya jambo moja ambalo...
View ArticleTOP STORIES BALAA: Duma alivyoingia kwenye gari la Watalii Serengeti (+video)
Watalii wawili wa Marekani walipatwa na mshtuko na kujua maisha yao yamefika mwisho baada ya Mnyama aina ya Duma kuingia kwenye gari lao mbugani Serengeti Tanzania na wao kumshtukia akiwa ameshaingia...
View ArticleKamati ya watu 12 wa simba kuelekea njombe kuhakikisha ushindi wa simba dhidi...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Njombe Mji utakaopigwa keshokutwa Jumanne mjini Njombe, Simba wamejipanga kupeleka majina ya watu 12 kutia hamasa.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa...
View ArticleDALALI: Ubingwa simba ni uhakika 100%
Na George MgangaMwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali, anaimani timu yake itatwaa ubingwa wa ligi msimu huu baada ya kuukosa kwa muda wa takribani miaka mitano.Dalali ambaye aliwahi...
View ArticleKikosi cha leo cha Yanga ngoma, kamusoko out!!
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya Robo Fainali leo.1. Youthe Rostand2. Juma Abdul3. Gadiel Michael4. Andrew Vincent5. Kelvin Yondan6....
View ArticleManara awakutanisha alikiba na diamond
Na George MgangaAfisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewakutanisha wasanii wakubwa wanaotamba zaidi Tanzania na Barani Afrika kwa miaka ya hivi karibuni, Diamond Platnumz na Ali Kiba.Haji...
View ArticleHakuna namna ili pasaka iendelee lazima mmoja afe pale Namfua
Na George Mganga Dimba la Namfua litakuwa na kibarua kizito leo ambapo wenyeji Singida United watakuwa wanaikaribisha Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.Mchezo huo ulikuwa unasubiriwa kwa hamu...
View ArticleYANGA YAKUBALI YAISHE, YAKUBALI SHOO YA WALIMA ALIZETI SINGIDA UNITED, NJE...
Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi katika Azam Sports Federation Cup imemalizika Uwanja wa Namfua kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 kwa njia ya matuta dhidi ya Yanga.Mchezo huo wa...
View ArticlePilau la Pasaka ‘ladoda’ Yanga
Sikukuu ya Pasaka imekuwa mbaya kwa upande wa Yanga baada ya kuondoshwa kwenye kombe la Azam Sports Federation Cup na Singida United kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia timu hizo kutoka sare ya...
View ArticleDiamond na Hamisa wanogesha Tunzo za SZIFF
Ilikuwa ni katika hafla iliyoandaliwa na Azam, iliyohusu utoaji wa Tunzo kwa wasanii mbalimbali wa Tansinia ya Filamu. Ukumbi ulipendeza haswa, ukijumuisha watu mbalimbali wa rika na wadhifa...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumatatu April 2 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania April 2 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View Article