Niyonzima, Mbonde wampa raha kocha Simba
WCHEZAJI Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Salim Mbonde wamerudisha matumaini kwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Mrafansa Pierre Lechantre akisema mambo yatakuwa mazuri. Wachezaji hao Niyonzima ni kiungo na...
View ArticleHABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA TZ LEO IJUMAA 30 MACHI 2018, UDAKU,MICHEZO NA...
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 30, 2018. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
View ArticleSimba SC wahaha kumbakiza Kichuya
***Ni baada ya TP Mazembe na klabu nyingine kuonyesha nia ya kumsajili...BAADA ya kuonyesha kiwango cha juu katika mechi ya kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Jamhuri ya...
View ArticleSimba yaifunika Yanga kimataifa
kwa kifupiSimba pia ameshika nafasi 602 katika klabu bora duniani wakati Yanga imeshindwa kutajwa katika orodha hiyo ya timu 1000 bora za miaka 10 ya mwanzo wa karne 21 wakiongoza Barcelona,...
View ArticleKuelekea kombe la dunia Urusi waamuzi England wapigwa stop
Wakati ikiwa imesalia miezi michache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi, jumla ya Waamuzi 36 wametangazwa kuchezesha mashindani hayo.Gumzo kubwa orodha hiyo ni kukosekana kwa...
View ArticleLIGI KUU: Lipuli yazidi kujiweka sawa mechi dhidi ya Mbao.
NA ALEXANDER VICTORTimu ya Lipuli Fc imemeendelea na maandalizi ya mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara ambayo kwa sasa imesimama kwa muda kupisha mechi za kalenda ya FIFA.Katika kuelekea mchezo ujao...
View ArticleDondoo Na Tetesi Za Usajili Ulaya Leo Ijumaa Ya Machi 30.2018
NA ALEXANDER VICTOR.Mchezaji wa Chelsea mwenye umri wa miaka 25 na mchezaji wa kimataifa wa Uhispania Alvaro Morata ni mmoja wa washambuliaji ambao Bayern Munich inamtaka kwa ajili ya kuchukua nafasi...
View ArticleTP Mazembe waanza kumvizia Kichuya
Taarifa zinaeleza kuwa Uongozi wa klabu ya TP Mazembe inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo umeanza harakati za kumuwania nyota wa Simba, Shiza Kichuya.Kichuya aliyebatizwa kwa jina la Messi wa Bongo na...
View ArticleYanga kupiga tizi la mwisho kesho wachezaji wote wapo fiti
Na George Mganga Kikosi cha Yanga kesho kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Namfua kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Singida United.Yanga ambayo ilikuwa imeweka kambi...
View ArticleMsuva azungumzia waarabu kumuuza bil 1.3
Simon Msuva ni kiungo mshambuliji wa timu ya Diffaa Al Jadida ya nchini Morocco ambaye ametua katika klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Yanga.Msuva ni miongoni mwa wachezaji wachache wa...
View ArticleNjombe mji waiachia msaala stand united
Na George Mganga Stand United imekuwa timu ya kwanza kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Njombe Mji FC.Timu...
View ArticleKongo "watoto" wawasili nchini kuivaa Ngorongoro
KIKOSI cha timu ya soka ya vijana ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kimewasili nchini juzi usiku tayari kwa mechi yao ya kwanza dhidi ya wenzao wa Tanzania (Ngorongoro Heroes) itakayofanyika...
View ArticleMwamuzi wa Kenya Kusimamia Mechi Kombe la Dunia 2018
Aden Marwa ni miongoni mwa waamuzi wasaidizi 10 kutoka Afrika watakaosimamia mechi za kombe la dunia.Mwamuzi huyo mwenye uzoefu wa miaka 7 akifanya kazi na shirika la FIFA,alifanikiwa kuorodheshwa...
View ArticleAmber Lulu Aponda Muonekano wa Ommy Dimpoz..Adai Hajakaa Kiume
Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwafanyia majambozi kuna siku watakushika wo.wo.wo..Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amber Lulu baada ya kumshukia staa wa bongo Fleva...
View ArticleDiva: Nimeshampata Boyfriend Mpya Mwenye Uwezo wa Kulipa Milioni 500
Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.Diva amesema kuwa mwanaume huyo...
View ArticleAzam Yajipanga Kuimaliza Mtibwa Sugar
Klabu ya soka ya Azam FC imeweka wazi kuwa itaingia na moto wake wote kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Mtibwa Sugar, utakaopigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Azam...
View ArticleHaji Manara Amuwashia Moto Abdi Banda “Alikuwa Afukuzwe Timu Kitambo”
Baada ya kusambaa kwa interview ya beki wa zamani wa Simba Abdi Banda anayeichezea Baroka FC ya Afrika Kusini akifanya mahojiano na muandishi wa habari za michezo wa gazeti la Champions Saleh Jembe na...
View ArticleJina la ngoma mpya ya Roma Mkatoliki lazua gumzo, Mkewe ahofia kumpoteza
Kila mdau wa muziki nchini Tanzania kwa sasa anahamu ya kusubiri wimbo mpya wa rapa Roma Mkatoliki hii baada ya mkali huyo wa Hip Hop kupitia katika kipindi kigumu cha kufungiwa wimbo wake na yeye...
View ArticleSPOTI TZ LEO IMEKUSOGEZEA MAGAZETI MBALIMBALI YA KIWA NA HABARI ZA KIMICHEZO...
BY RICHARD@SPOTI.CO.TZ
View ArticleAzam yawatumia salam mtibwa kabla ya mechi ya leo
Kazi ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports inasubiriwa kwa hamu kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam wakati Azam FC ikiikaribisha Mtibwa Sugar.Tayari wageni wameonekana kujiamini na kusisitiza...
View Article