Diego Costa awaonya mashabiki wa Argentina kuhusu Messi(la pulga)
Mshambuliaji wa klabu ya Atletico de Madrid na timu ya taifa ya Spain, Diego Costa, amewaonya mashabiki wa timu ya taifa ya Argentina kuhusiana na nyota Lionel Messi.Costa ameyasema hayo ikiwa ni siku...
View ArticleTETESI ZA USAJILI ULAYA: Real Madrid yaachana na De Gea yaenda kwa Mbrazili-
Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia na wale wa Brazil na hivyo watalazimika kusubiri hadi msimu wa...
View ArticleYanga yasisitiza imeshamkamata mwizi wao
Msemaji wa Yanga, Dismas Ten ameendelea kutamba kwamba wana nafasi kubwa ya kuishusha Simba kileleni.Dismas amesema kama ni kumkimbiza mwizi, tayari wamemshika.“Ni tofauti ya pointi tatu, lakini sasa...
View ArticleNeema inarudi jangwani Ngoma mambo safi tu kambini Moro
Wakati Yanga ikiwa katika maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Singida United mjini Singida, inaelezwa hali ya Donald Ngoma inazidi kuimarika.Kwa mujibu wa Meneja Mkuu wa kikosi cha...
View ArticleVIDEO:BRAZIL YAWAPIGA UJERUMANI BAO 0-1, BAADA YA ZILE 7-1 ZA KOMBE LA DUNIA
Gabriel Jesus akishangilia baada ya kufunga bao. Wachezaji wa Brazil wakishangilia kwa pamoja.TIMU ya Brazil usiku wa kuamkia leo wameshinda dhidi ya wenyeji wake Ujerumani waliokuwa nyumbani katika...
View Article(PICHA + VIDEO) HISPANIA YAIPIGA ARGENTINA BAO 6-1 NA MESSI WAO
Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dhidi ya Argentina. Wachezaji wa Argentina wakishangilia bao lao.Argentina imekiona cha mtema kundi katika mechi ya kirafiki...
View ArticleUNAFIKI, UROHO WA MADARAKA UNAIPELEKA TFF SHIMONI
Rais wa TFF Wallace Karia.TAKRIBANI wiki mbili sasa ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), hakuna jambo la maendeleo ambalo linazungumziwa badala yake mizengwe na kuchafuana.Gumzo la nani hafai na...
View ArticleTIMOTHY: MTOTO GEORGE WEAH ANAYEICHEZEA MAREKANI
SOKA ndiyo mchezo unaopendwa zaidi duniani kwa sasa na umekuwa ukizalisha wachezaji wengi sana maarufu.Rais wa Liberia, George Weah, ni mchezaji wa zamani mahiri na anafahamika duniani kote kutokana...
View ArticleWachezaji wa Yanga Waliokua Kambini ya Taifa Waelekea Morogoro Kuungana na...
Wachezaji wa Yanga waliokuwa kambini na timu ya taifa, Taifa Stars, leo wanatarajia kusafiri kuelekea mkoani Morogoro kujiunga na kikosi chao kinachojiandaa na mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Singida...
View Article'MKUDE KURUDI MAZOEZINI KESHO SIMBA' MANARA
KIUNGO wa Simba SC, Jonas Mkude anaweza kuendelea na mazoezi kesho baada ya kuumia kifundo cha mguu juzi.Mkude alishindwa kuendelea na mazoezi juzi baada ya kugongana na kiungo mwenzake, Muzamil Yassin...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Alhamisi March 29 2018, Udaku,Michezo na...
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 29, 2018. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
View ArticleBao la samatta lawaumiza moyo wakongo wataka viongozi waachie ngazi
Mashabiki wa DR Congo wameamsha sekeseke kwa shirikisho la soka nchini humo wakidai halikuwa na maandalizi mazuri na timu yao.Hii inatokana na kero ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tanzania na hasa...
View ArticleSingida waiambia yanga ijiandae kufungasha virago
VIRAGO FAUongozi wa klabu ya Singida United umeamua kujichimbia kwa kuweka kambi nje ya mji kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Yanga.Singida United imeweka kambi Magharibi mwa...
View ArticleKAGAME CUP KUPIGWA DAR JUNI MWAKA HUU
Michuano ya klabu bingwa ya Afrika Mashariki na Kati inayosimamiwa na Baraza la vyama vya soka ukanda huo (CECAFA) maarufu kama Kagame Cup yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam mwezi Juni mwaka...
View ArticleSIMBA WAGOMA KUMUUZA OKWI KWA WAARABU
UONGOZI wa Simba, umedai kuwa hauwezi kumuuza mchezaji wao Mganda, Emmanuel Okwi kwa timu ya Al Masry na umesisitiza kuwa sasa wanawaza kuhusu ubingwa na siyo kuuza wachezaji.Okwi ambaye amesajiliwa...
View ArticleKOCHA MBELGIJI: NIPENI TAIFA STARS NIIPELEKE KOMBE LA DUNIA 2022
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza kuanza mchakato wa kumsaka kocha mpya wa Taifa Stars, Mbelgiji, Adel Amrouche ameibuka na kufunguka kuwa, akipewa nafasi ya kuinoa timu hiyo,...
View ArticleMkwasa atajwa AFC Leopards
Nairobi, Kenya. Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa, Dennis Kitambi ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuwania nafasi za kuifundisha AFC Leopards ya Kenya.Mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu Kenya, AFC...
View ArticleMkwasa mambo safi TFF , aanza kulipwa deni lake
Kocha wa zamani wa Taifa Stars na Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesema wamekubaliana na TFF kuanza kulipwa taratibu deni lake analodai.Mkwasa aliondoka Stars akiwa hajalipwa...
View ArticleKauli ya yanga baada ya kuhusishwa na kumsajili mchezaji huyu wa singida
Wakati Yanga ikiwa kwenye maandalizi ya kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United FC, taarifa za chini ya kapeti zinaeleza uongozi wa timu hiyo unataka kumsajili Mudathir...
View ArticleNyosso kuanza na Ndanda
Mwanza. Beki Juma Nyosso amerejea katika kikosi cha Kagera Sugar baada ya kumaliza adhabu yake tayari kuivaa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa Aprili 8 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona...
View Article