Baada ya kambi iringa simba waanza safari kuelekea njombe
Kikosi cha Simba kimeanza safari asubuhi hii kuelekea Njombe tayari kwa mchezo wake wa kesho dhidi ya Njombe Mji FC.Kikosi hicho kiliweka kambi ya muda mfupi mkoani Iringa ambapo jana kilifanya mazoezi...
View ArticleKisa waethiopia lwandamina hakuwa na yanga morogoro
Wakati kikosi cha Yanga kikielekea Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United, Kocha George Lwandamina inaelezwa hakuwa nchini.Taarifa za ndani zinaeleza...
View ArticleChombo cha anga za juu cha China kimemeguka vipande vipande
Chombo cha anga za juu cha China kilichoacha kutumika Tiangong-1 kimemeguka vipande vingi kikiingia anga ya dunia na kuanguka maeneo ya bahari kusini mwa Pacific.Chombo hicho kiliingia anga ya dunia...
View ArticleJose Mourinho :Anaamini kwamba haiwezekani kukimbizana na Manchester City...
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anaamini kwamba haiwezekani kukimbizana na Manchester City msimu huu huku klabu hiyo ya Etihad ikikaribia kushinda taji la Ligi ya Premia.City walilaza Everton...
View ArticleYanga ilivyofia tutani Singida
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wameondolewa katika mashindano ya Kombe la FA baada ya kukubali kutolewa kwa matuta 4-2 dhidi ya wenyeji Singida United katika mechi ya hatua ya robo...
View ArticleShe-polopolo waifuata Twiga Stars
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Zambia maarufu She-polopolo, kinatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ajili ya kuwavaa wenyeji wao, Twiga Stars, imeelezwa jijini Dar es Salaam jana.Twiga...
View ArticleRAIS MSTAAFU KIKWETE AIOMBA SERIKALI KWA JICHO LA TATU, WEMA SEPETU ANG'ARA
RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete (JK), amewapongeza wasanii wa filamu kwa jitihada zao na kuiomba Serikali kuwatazama kwa jicho la tatu ili kukuza tasnia hiyo.Aliyasema hayo usiku wa kuamkia leo jijini...
View ArticleWasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo
Kituo kipya cha runinga cha Wasafi TV leo Aprili 02, 2018 kitaanza kurusha matangazo yake mubashara kupitia ving’amuzi mbalimbali kikiwemo cha Azam TV. Akithibitisha taarifa hizo, Diamond Platnumz...
View ArticleWenger: Mashabiki wa Arsenal watarudi Alhamisi
Arsene Wenger anaamini kwamba hali ya klabu hiyo kutofana katika Ligi ya Premia ndiyo iliyochangia mashabiki wa klabu hiyo kutojitokeza kwa wingi wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya England dhidi ya...
View ArticleTetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.04.2018: Aguero kurejea, Pogba hana uhasama...
Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amesema hana tatizo na meneja Jose Mourinho na hafikirii kuihama klabu hiyo. Hii ni licha ya Mfaransa huyo wa miaka 25 kuwa akiwekwa benchi mechi za...
View ArticleKama mwanaume unavutiwa na mrembo Vera Sidika habari hii ikufikie
Baada ya tetesi ya Mwanamitindo na Video Vixen kutoka Kenya , Vera Sidika kuwa anaujauzito hatimaye mwenyewe ameweka wazi juu ya tetesi hizo habari hizo ni za kweli na sio tetesi tena.Vera SidikaMrembo...
View ArticleDAKTARI ATOA RIPOTI YA BEKI WA AZAM ALIYEPOTEZA FAHAMU KWA SAA KADHAA
Beki wa Azam FC, David Mwantika, anaendelea vizuri baada ya kupata hitilafu ya mwili wakati wa mchezo wa wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sporst Federation Cup) dhidi ya Mtibwa Sugar usiku...
View ArticleBONDIA ANTHONY JOSHUA AMCHAKAZA PARKER, AFIKISHA MAPAMBANO 21 BILA KUPOTEZA
Hapo tarehe 31/03 usiku bondia Muingereza, Anthony Joshua alifanikiwa kuongeza taji jingine katika mataji matatu aliyokua akishikilia ya WBA, IBO na WBF. Joshua alifanikiwa kuongeza taji la WBO kwa...
View ArticleWema Sepetu: Sioni Wivu Diamond Kumkumbatia Hamisa Mobeto
Wakati habari zilizopo mjini kwa sasa ni tukio la mwanamitindo Hamisa Mobetto na msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ’Diamond’ kuteka tukio la utoaji tuzo za filamu za Sinema Zetu International Film...
View ArticleSIMBA SC WAIFUATA NJOMBE KIKAMILIFU, JONAS MKUDE YUKO FITI TIMAMU KABISA
KIKOSI cha Simba SC kimeondoka leo mjini Iringa kwenda Njombe tayari kwa mchezo wake wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania dhidi ya Njombe Mji FC. Simba iliwasili Iringa Jumamosi na kufanya mazoezi...
View ArticleWinnie Mandela afariki dunia akiwa na miaka 81
Winnie Mandela, mke wa zamani wa Nelson Mandela, ambaye pia alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na miaka 81.Habari za kifo chake zimethibitishwa na...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumanne April 3 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania April 3 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleUkimuuliza manara kuhusu mkude kama atacheza leo
Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema kikosi cha Simba kimefanya mazoezi ya mwisho leo kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Njombe Mji FC kesho.Akizungumza na kipindi cha EFM kupitia E...
View ArticleYanga yaiamsha Simba Njombe
BAADA ya Yanga kutolewa kwenye kinyang'anyiro cha Kombe la Shirikisho (FA Cup), Simba imesema muda umefika wa kuongeza "umakini mno" wakianza na mechi ya kiporo ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...
View ArticleYanayojiri - Njombe na Simba:Matukio katika picha
Kotei OutGoli la pili la John BoccoNa: sabby@spoti.co.tz==>>Unaweza Kudownload APP yetu ya SPOTI << kwa Kubofya Hapa>>
View Article