Yanga wapewa mbinu hii kuimaliza Welayta Dicha ya Ethiopia
Kocha mkuu wa klabu ya Zimamoto ya Zanzibar ambaye pia ni mkurugenzi wa ufundi wa chama cha soka Zanzibar (ZFA) adbulan Msoma ametoa ushauri wa bure kwa Yanga kuhusu wapinzani wao Wolaitta Dicha kabla...
View ArticleHuyo kamusoko anataka mashabiki tuu
Kiungo wa Yanga thabani kamusoko anataka nguvu ya mashabiki wa timu yao siku ya Jumamosi wakati Yanga itakapokuwa inacheza nyumbani dhidi ya Wolaitta Dicha mchezo wa mtoano kuwania nafasi ya kucheza...
View ArticleYanga kuwasili Dar leo na dozi ya Waethiopia
Kikosi cha Yanga kinatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam leo tayari kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Welayta Dicha FC kutoka Ethiopia.Yanga iliweka kambi mjini Morogoro kufanya...
View ArticlePANCHA: Ngoma aumia tena mazoezini jioni
Mshambuliji wa timu ya Yanga, Donald Ngoma ameumia tena mazoezini na hatokuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza kesho na Wolaita Dicha katika mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika.Ngoma alisafiri na...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumamosi April 7, 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumamosi April 7, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleHarmonize Afungukia Kuvunjika Kwa Mahusiano Ya Zari na Diamond
Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka label ya WCB Harmonize kwa mara ya kwanza amefungukia suala la kuvunjika kwa Mahusiano ya Zari na Diamond Platnumz.Miezi miwili iliyopita siku ya wapendanao Zari...
View ArticleNisingekua hapa bila ya Kanumba- Rose Ndauka
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Rose Ndauka amefunguka na kudai bila ya mafundisho na ushauri aliyopewa hapo awali na marehemu Steven Kanumba, muda huu watanzania na watu wengine wasingeweza...
View ArticleKisa Simba Chirwa arejea kwao Zambia
Jumatano wiki hii straika wa Yanga, Obrey Chirwa alienda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kifamilia, sasa uongozi wa klabu hiyo umesema mchezaji huyo anarudi muda wowote kuanzia sasa kujiandaa na...
View ArticleKumbe nsajigwa alimfuata chirwa jukwaani
Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, leo alilazimika kukaa jukwaani kukitazama kikosi cha Yanga kikipambana katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Wolaitta Dicha FC.Nsajigwa hakuwa na...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumapili April 8, 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumapili April 8, 2018kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
View ArticleMechi ambayo Juma Abdul hatoisahau na alichosema kabla ya mechi ya leo
Juma Abdul ni miongoni mwa walinzi wa pembeni wa kutumainiwa kwenye kikosi cha Yanga, ni mchezaji mwenye uzoefu ambaye ameshacheza mechi nyingi kubwa za kitaifa na kimataifa akiwa na klabu yake au timu...
View ArticleYanga yawatafuna wa Ethiopia 2:0 Chirwa akiwa jukwaani
Kikosi cha Yanga kimeanza vema hatua ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolaitta Dicha SC kutoka Ethiopia.Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja...
View ArticleSababu iliyomfanya Kamusoko ajifunze kiswahili
Jambo ambalo hutakiwi kufanya ni ‘kumteta’ Thabani Kamusoko kwa lugha ya Kiswahili ukiamini ni raia wa kigeni na hatoelewa unachozungumza, utakuwa umefeli jamaa ni anatwanga kiswahili hadi cha...
View ArticleOnesha ujuzi wako: Bao la CR7 dhidi ya Juventus linaitwaje kitaalamu?
Bao la mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, lililowafurahisha hata mashabiki wa Juventus, licha ya ukweli kwamba kufungwa kunauma lakini mashabiki hao wa Juventus walisimama na kumpigia...
View ArticleChelsea yashindwa kutoa zawadi ya pasaka kwa mashabiki wake
Mabingwa wa epl msimu 2017/2018 chelsea fc wameendelea kukumbwa na vipigo mfululizo baada ya kukubali kipigo cha magori 3 kwa moja kutoka kwa Tottenham Hotspur .mabingwa haw wamekua katika msimu...
View ArticleTCRA Yatoa Hukumu kwa Times Fm Kisa Diamond. Clouds Nayo Yapewa Onyo Kali
KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),imetoa hukumu kwa vituo viwili vya radio vya Times FM na Clouds FM kwa makosa ya ukiukwaji wa kanuni za utangazaji za mwaka 2018.Taarifa...
View ArticleSimba ‘ikikaza’ kidogo tu safi!
KIRAKA wa Simba, Shomari Kapombe ni miongoni mwa wachezaji wachache waliokuwepo wakati Wekundu hao wakitamba kimataifa kabla ya kupotea na kubatizwa jina la ‘Wamatopeni’.Sasa jamaa ameapa kuwa, kwa...
View ArticleHuyu Wambura mbishi jamani
KAMA unadhani aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura, amesalimu amri basi utakuwa umekosea sana aisee. Unaambiwa hivi, Wambura ambaye rufani yake kupinga...
View ArticleRonaldo afananishwa na mvinyo
Kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri amemfananisha Cristiano Ronaldo na kinywaji cha mvinyo akisema kuwa kadiri umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa mkali zaidi. Allegri alimkubali Ronaldo baada ya...
View ArticleKichuya apewa jukumu hili zito
Baada ya kufanikiwa kuivuruga Singida United juzi, Mtibwa Sugar wamesisitiza kwamba hizo ni salamu tosha kwa Simba na kuwataka wajiandae kisaikolojia. Lakini kocha kijana wa Simba anayekubalika zaidi...
View Article