Kichuya apewa jukumu hili zito
Baada ya kufanikiwa kuivuruga Singida United juzi, Mtibwa Sugar wamesisitiza kwamba hizo ni salamu tosha kwa Simba na kuwataka wajiandae kisaikolojia. Lakini kocha kijana wa Simba anayekubalika zaidi...
View ArticleNoma raphael daudi aweka rekodi kwa goli lake kimataifa
Na George Mganga Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Raphael Daud, jana aliweka rekodi yake katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Daud aliifungia Yanga bao la kwanza katika sekunde ya 27...
View ArticleMatokeo ligi kuu bara leo
Na George Mganga Kivumbi cha Ligi Kuu Bara kimeendelea tena jioni ya leo kwa viwanja vinne kuwaka moto.Katika mchezo uliopigwa huko Shinyanga, wenyeji Stand United wametoa dozi ya mabao 3-1 dhidi ya...
View ArticleSimba fiti kuwakabili mtibwa kesho
Na George Mganga Kikosi cha Simba kinafanya mazoezi ya mwisho mjini Morogoro leo, tayari kwa mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa mjini Morogoro kesho Jumatatu.Simba na Mtibwa zitakuwa...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumatatu April 9 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumatatu April 9 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleKesi ya Zuma kusikilizwa tena mwezi june.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini anayeshtakiwa kwa makosa ya rushwa inayohusishwa na mpango wa silaha wa mwaka 1990.Mara baada ya Bwana Zuma kuwasili katika mahakama kuu huko Durban hapo jana kwa...
View ArticleHarry Kane anaamini atamshinda Mohamed Salah kwa ufungaji wa mabao.
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Harry Kane amesema anaamini atamshinda nyota wa Liverpool Mohamed Salah na kutwaa tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia msimu huu.Mshambuliaji huyo wa England...
View ArticleTetesi za soka Ulaya. Mpango wa kumchukua Fellaini, Fred atafutwa na Man Utd...
Liverpool wameandaa mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya mchezaji wa safu ya kati wa Manchester United Mbelgiji Marouane Fellaini, huku Paris St-Germain na Monaco pia wakionyesha kumtaka kijana huyo...
View ArticleDownload Upya Application Yetu Ya Spoti
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya Spoti Maana ile ya Zamani Tutaifuta.Kuna Maboresho Mapya Yamefanyika ili kukufanya upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile...
View ArticleMtibwa Sugar kuivurugia Simba Leo Bila Okwi
Harakati wa kusaka ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu wa 2017/18, zinaendelea leo kwa mchezo mmoja utakaoshuhudia Wekundu Wa Msimbazi Simba wakipapatuana na Mtibwa Sugar katika uwanja wa...
View ArticleJacqueline Wolper apewa Onyo Kali na mpenzi wa Harmonize
Mpenzi wa msanii Harmonize, Sarah amemuonya ex-girlfriend wa muimbaiji huyo Jacqueline Wolper kwa kile alichodai muigizaji huyo anamsumbua sana mpenzi wake katika mitandao.Aliweka wazi hilo ni Wolper...
View ArticleMonalisa Akabidhiwa Bendera Kupeperusha Nchi Ghana
Mwanadada Monalisa ambae ni msanii mkongwe sana katika tasnia ya filamu amekabidhiwa bendera ya taifa pamoja na ticket ya ndege na Mh waziri wa michezo Harrison Mwakyembe kwa ajili ya safari yake ya...
View ArticleDj Rasta Bob Wa Uganda Adai Zari Alikuwa Mpenzi Wake Kabla Hajamuacha na...
Dj na mtangazaji maarufu nchini Uganda Robert Ogwel maarufu kama Dj Rasta Bob Mc amefunguka na kudai Ex wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zari alikuwa mpenzi wake kabla hajamuacha na kwenda kwa...
View ArticleMiss Tanzania Yazaliwa Upya,......Mwakyembe Asimulia Alivyokuwa Anakerwa na...
Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameweka wazi kwamba alikuwa tayari kuchukua mashindano ya Miss Tanzania kutoka kwa muandaaji Hashim Lundenga kwa madai kuwa...
View ArticleSimba yaendeleza dozi leo ilikuwa mtibwa
Na George Mganga Simba SC imeendelea kujikusanyia alama katika Ligi Kuu Bara baada ya kuilaza Mtibwa Sugar FC kwa bao 1-0 jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Mchezo huo uliokuwa...
View ArticleUongozi azam waichana mbeya city
Baada ya mchezo wa ligi kati ya Mbeya City na Azam FC kwenda suluhu ya bila kufungana katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, uongozi wa Azam waitupiwa lawama Mbeya City.Kupitia Afisa Habari wa Azam,...
View ArticleGUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akijadiliana na wasaidizi wake wakati wa mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool Uwanja...
View ArticleRaisi wa Sporting Cp awafungia wachezaji 19 wa kikosi cha kwanza.
Boss ni boss tu, hicho ndicho unachoweza kusema baada ya wachezaji 19 wa kikosi cha kwanza cha Sporting Cp kusimamishwa kuitumikia timu hiyo baada ya kujaribu kumpinga raisi wa timu hiyo.Chanzo cha...
View ArticleJERRY TEGETE ATOA NENO KUHUSU MAJIMAJI KUSHUKA DARAJA
Ongeza kichwaLicha ya kuwa Majimaji inaelekea kubaya na ikiwa na dalili za kushuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Vodacom, straika wa timu hiyo, Jerry Tegete amefunguka kuwa anaamini wataendelea kupigana...
View ArticleTAZAMA BAADHI YA RECORD KUBWA KWENYE MPIRA WA MIGUU DUNIANI.
Tumekuletea baadhi ya record kubwa kuwahi kutokea katika mchezo wa soka ulimwenguni kote tazama video hapa chini.
View Article