Wosia wa Afande kwa wanawe “nikifa msikubali nizikwe, msimamie nichomwe moto”
Msanii wa muziki kutoka mkoani Morogoro, Afande Sele ameacha wosia kwa watoto wake wawili kwamba akifariki wahakikishe anachochwa moto. Rapa huyo amewata watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni...
View ArticleJokate amtaja mchezaji anayemkubali kati ya Ronaldo na Messi
Licha ya Jokate Mwegelo kuwa karibu na mitindo na kujikita zaidi kwenye siasa na biashara, lakini pia mrembo huyo ni mfatiliaji wa karibu wa mchezo wa soka. Jojo ameshawahi mara kadhaa kuthibitisha...
View ArticleWatu wasifikiri ninaposafiri nje naenda kufanya starehe – Ommy Dimpoz
Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amefunguka undani wa safari zake za mara kwa mara nje ya nchi.Muimbaji huyo amesema anaposafiri si kwa ajili ya starehe kama watu wanavyoona katika mitandao bali ni...
View ArticleRaia 50 wa Ghana wafukuzwa Australia kwa kujifanya kuwa waandishi wa habari.
Zaidi ya raia wa Ghana 50 waliojaribu kuingia nchini Australia kinyemela wamekamatwa walipokuwa wakijaribu kuingia nchini humo kwa kujifanya kuwa waandishi wa habariRaia hao walishikwa wakati...
View ArticleSIMBA: Yanga wanatishia ubingwa wetu
Uongozi wa Simba umeingiwa na hofu na Yanga na kudai sasa vita ya ubingwa wa ligi kuu imekolea, baada ya wapinzani wao hao kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la FA.Yanga imetolewa kwenye michuano ya...
View ArticleMtibwa waongea kuhusu mechi yao vs simbs
Na George MgangaUongozi wa Mtibwa Sugar umesema hauna hofu na vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, klabu ya Simba, kuelekea mchezo wa ligi Jumatatu ijayo.Kupitia Msemaji wa timu hiyo, Thobias Kifaru,...
View ArticleTetesi za Soka za Usajili Barani Ulaya Kwa Siku Ya Leo.
Real Madrid wamerudia kuonesha kumtaka mlinda mlango wa Manchester United David de Gea,27. Pia wameanza kumuulizia kiungo wa Ufaransa Paul Pogba, 25, na mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 22....
View ArticleIshu ya tshishimbi kususa chakula ipo hivi.
Kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi raia wa DR Congo wiki iliyopita ilikuwa mbaya kwake baada ya kukosa moja ya penalti za kikosi chake walipokuwa wanacheza na Singida United ambapo baada...
View ArticleMuigizaji wa sinema za Bollywood Salman Khan,ahukumiwa miaka mitano jela
Mahakama moja ya India imemhukumu nyota muigizaji wa sinema za Bollywood Salman Khan, hukumu ya miaka mitano jela kwa kuua aina mojawapo ya swala ambao ni adimu kupatikana duniani mwaka 1988.Mahakama...
View ArticleSimba: Vitendo vitaongea Bara
KIKOSI cha Simba ya jijini Dar es Salaam kinatarajia kuwasili Morogoro leo tayari kuwavaa wenyeji Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kufanyika Jumatatu kwenye Uwanja wa...
View ArticleKamati ya Maadili Yamfungulia Kifungo Abajallo na Kumpa Onyo Kali
Kamati ya Rufaa ya Maadili imeitupilia mbali rufaa ya Dustan Mkundi Ditopile na kuiagiza Sekretariati kulipeleka suala kake katia vyombo vya ulinzi kwa uchunguzi zaidi.Dustan alifungiwa kutokana na...
View ArticleUKUTA YANGA PASUA KICHWA
ZIKIWA zimebakia saa chache kabla ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara hawajakutana na Welayta Dicha FC kutoka Ethiopia, Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, amesema kuwa kutowaruhusu...
View ArticleHatimaye Majibu ya Rufaa ya Wambura Kujulikana Leo
Taarifa kutoka TFF zinaeleza kuwa Kamati ya Maadili ya Shirikishi hilo inatarajiwa kutoa majibu ya rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais, Michael Richard Wambura, dakika kadhaa zijazo kuanzia sasa.Wambura...
View ArticleSIMBA SC KUWAKOSA KOTEI, JUUKO NA NYONI MECHI NA MTIBWA SUGAR JUMATATU MOROGORO
SIMBA SC itawakosa wachezaji wake watatu, mabeki Mganda Juuko Murshid, mzawa Erasto Nyoni na kiungo Mghana, James Kotei katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa...
View ArticleHarmonize Akubaliana na Zari Kumbwaga Diamond
Stori za ua jeusi la aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady bado zipo kwenye headlines, hatimaye Harmonize amezungumzia hatua ya Zari kuachana na Diamond.Muimbaji huyo wa WCB...
View ArticleRufaa ya wambura imefeli kifungo pale pale
BREAKING NEWSSakata la Michael WamburaMichael Wambura Ashindwa rufaa yake na adhabu aliyopewa amestahiri kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya rufaa ya Maadili ndugu Ebenezer Mshana.Kifungo cha Maisha...
View ArticleNiyonzima amempa kocha wake ahadi hii
Baada ya kurejea uwanjani, kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amemuahidi makubwa kocha wake Pierre Lechantre kwa kusema kuwa ni nafasi nzuri kwake kuonyesha kiwango baada ya kupata nafasi...
View ArticleYanga yawashtukia ethiopia na figisu zao
Benchi la Ufundi la Yanga linaloongozwa na Mzambia, George Lwandamina, limewashitukia wapinzani wao, Wolayta Dicha ya Ethiopia ambapo sasa limeamua kuumaliza mchezo nyumbani kuepuka hujuma wakienda...
View ArticleSakata la Yondani kuwa na kadi mbili za njano kimenuka
Baada ya kupokea barua ya kuonywa kutowatumia wachezaji wake wanne, Yanga imekwenda kwenye Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa kupinga adhabu ya kadi mbili za njano alizopewa nahodha na beki wao wa...
View Article