Yanayojiri - Njombe na Simba:Matukio katika picha
Kotei OutGoli la pili la John BoccoNa: sabby@spoti.co.tz==>>Unaweza Kudownload APP yetu ya SPOTI << kwa Kubofya Hapa>>
View ArticleTetesi za soka barani ulaya leo Jumanne tar 03/04/2018
Kipa wa timu ya Manchester United, David de Gea (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka tano inayo na thamani ya paundi £350,000 kila wiki. (Sun)Timu ya Tottenham wanamatumiani kuwa meneja Mauricio...
View ArticleWAVULANA KENYA: wafundishwa kujizuia ubakaji
WakufunziIsaac ni kijana mwenye umri wa miaka 15,ambaye alishuhudia kundi la wanaume wakimkamata kwa nguvu msichana mdogo.Ilikuwa mkesha wa kuamkia mwaka mpya katika mtaa wa Kibera,eneo ambalo lina...
View ArticleNUKUU USIZOZIJUA ZA WINNIE MANDELA
"Miaka niliyofungwa gerezani ilinifanya kuwa mkakamavu... Huwa sina tena hisia za woga ... Hakuna chochote ambacho naweza kukiogopa. Hakuna kitu ambacho sijatendewa na serikali. Hakuna uchungu ambao...
View ArticleVIDEO: Simba ya Al Masry yaishukia Njombe Mji
Dar es Salaam. Mbio za ubingwa zimeshika kasi baada ya kocha wa Simba, Pierre Lechantre kuanza na mfumo na wachezaji wale waliocheza na Al Masry dhidi ya timu Njombe Mji leo saa 10:00 jioni, kwenye...
View ArticleJulio: Kutolewa Yanga, Simba, Azam ni ishara njema kwa soka Tanzania
Dar es Salaam. Nyota wa zamani Yanga na Simba wamesema kuingia kwa nusu fainali ya Kombe la FA timu za Mtibwa Sugar, JKT Tanzania, Singida United na Stand United ni ishara ya mwanzo wa zama mpya za...
View ArticleNjombe Mji Wakubali Kilichotokea Wahamishia Majeshi Kwa Stand United Wenyewe...
Mara baada ya kumalizika kwa mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Njombe mji na Simba sc klabu ya Njombe mji iemsema bado inayonafasi ya kuendelea kusalia kwenye ligi hiyo kwa msimu ujao kutokana...
View ArticleCannavaro awatuliza Yanga
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewaambia wanachama na wapenzi wa Yanga wasife moyo baada ya timu yao kutolewa na Singida United kwenye mashindano ya Azam Sports Federation Cup.“Tunamsukuru...
View ArticleTurin sio mahala pazuri kwa madrid juve wanaweza endeleza rekodi yao
Cristiano Ronaldo hii leo anarejea uwanjani baada ya kupewa mapumziko katika mchezo wa Real Madrid vs Las Palmas, huku Juventus watawakosa Miralem Pjanic na Medhi Benatia ambao wanatumikia adhabu,...
View ArticleBocco anguruma njombe
Magoli mawili ya mshambulia John Bocco wa Simba yameipa ushindi timu yake dhidi ya Njombe Mji kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara na kufikisha pointi 49 pointi tatu mbele ya Yanga ambayo ipo nafasi...
View ArticleSikukuu ya wajinga yamchanganya etoo mbioni kukimbilia mahakamani
Juzi kulikuwa na habari katika moja ya majarida nchini Cameroon kuhusiana mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Etoo kujiandaa kugombea uraisi wa nchi hiyo mwaka 2018.Jarida...
View ArticleBushiri ataja sababu ya kupoteza dhidi ya Simba
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Njombe Mji Ally Bushiri amewapongeza wachezaji wake kwa kuonesha kandanda safi licha ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Mnyama Simba Sports Club katika mchezo wa ligi kuu...
View ArticleAlichoandika Edo Kumwembe kuhusu uwanja wa saba saba
Na George Mganga Mwandishi na Mchambuzi wa Soka, Edo Kumwembe, ametoa maoni yake kuhusiana na ubowa wa Uwanja wa Sabasaba ambao una kibarua hivi sasa kati ya Njombe Mji FC dhidi ya Simba SC.Edo...
View ArticleDavid Kisu: Taulo halizuii goli
Golikipa wa Njombe Mji David Kissu amejibu maswali mengi ambayo yamekuwa yakiibuka kuhusu taulo lake ambalo hulitumia anapokuwa golini wakati wa mechi mbalimbali.Leo wakati wa mchezo kati ya Njombe Mji...
View ArticlePICHA: Yanga walivofanya mazoezi leo
Na George MgangaLicha ya kutotumika katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United Jumapili ya wiki iliyopita, wachezaji Donald Ngoma na Thaban Kamusoko wamefanya mazoezi leo.Kamusoko na...
View ArticleKapombe awa mchezaji bora wa simba
Na George MgangaMchezaji wa klabu ya Simba, Shomari Kapombe, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe Mji FC, uliochezwa leo katika Uwanja wa Sabasaba...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya TZ leo Jumatano April 4 2018 Udaku, Michezo na...
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Jumatano April 4 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
View ArticleJuventus v/s Madrid: Angalia hapa magoli yote ya Madrid
Na: sabby@spoti.co.tz==>>Unaweza Kudownload APP yetu ya SPOTI << kwa Kubofya Hapa>>
View ArticleTetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.04.2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza...
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionChelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano AllegriChelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya...
View ArticleJuventus 0-3 Real Madrid: Bao la Cristiano Ronaldo lililowafurahisha hata...
Cristiano Ronaldo alifunga mojawapo ya mabao bora zaidi katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa bao la kushangaza la 'bicycle-kick' na kuwasaidia Real Madrid kuwalawa Juventus katika mechi ya mkondo wa...
View Article