Jojo ameshawahi mara kadhaa kuthibitisha kuwa ni shabiki wa Arsenal, lakini hakuwahi kumtaja ni mchezaji gani ambaye anamkubali zaidi kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Unafikiria anamkubali nani kati ya hao?
Basi mrembo huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha hiyo hapa chini na ameonyesha kuwa anamkubali zaidi Ronaldo tena amedai mchezaji huyo anakipaji zaidi kuliko Messi.

“Ukichana na kuwa Arsenal dam dam pia niko hapa CR7 kipaji kuliko Messi.
by richard@spoti.co.tz